Kumbe hukukutamueeee!!!!

kisilo

Senior Member
Oct 19, 2012
121
31
Jamani mimi hukunilikuwa sijaingia kumbe kuna mautamu.
naomba mnikaribishe na nipate mautamu.charminglady,arusha one
nawengineo nipeni maunja nami nifaidi.nina hitaji bint wa kunipetipeti.
 
mkuu kisilo mie mke ya mutu tena mama kijacho. mume yangu inaitwa @C6. sema kama unataka mke ya kuwowa nikutafutie ila mie tayari namilikiwa tasavali!
 
Last edited by a moderator:

waooooo mama kijacho!!!.nimeipenda hiyo.ikiwezekana itakuwa njema
nami nataka niitwe baba.
 
Last edited by a moderator:
utamu unaozungumza kumbe kutaka kupetiwa usione vyaelea ........ Hapa kils mtu anawake mie mke wake judgement upooo unalo hilo baaiiii
 
nikwel nataka utamu lakin si kwawake zawatu hapana naogopa kupelekwa
msitu wa mambwepande.naminikipata wangu itapendeza.
 
bora umekuwa muwazi, yan ungethubutu tu kuchezeiya muke ya mutu, kitu chenye ncha kali kingepata kazi fasta yan!!!!!!
 
Ulivyosema huku kutamu umecreate mirrage, karibu huku kutamu utapata kila kitu bure.
 
Jamani mimi hukunilikuwa sijaingia kumbe kuna mautamu.
naomba mnikaribishe na nipate mautamu.charminglady,arusha one
nawengineo nipeni maunja nami nifaidi.nina hitaji bint wa kunipetipeti.

Una kasi wewe!?, umefika tu na kutaka kupetiwa, utachoka
 
huyu mgen nomaaaa
kaja na spidi ya ajabu!!!!!

atakuwa katumia mda mrefu gesti
 
Back
Top Bottom