Mama Ngina jamani nimekumbuka enzi zetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Ngina jamani nimekumbuka enzi zetu!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by muuza ubuyu, Oct 27, 2012.

 1. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Mama ngina jamani inamaana umetupa jongoo na kijiti chake? Usimwogope Baba Ngina ameshajizeekea mimi bado vile vile kama enzi zetu!
  Niambie mapema make weekend ndio hii!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Ngoja nijibanze hapa nione Mama Ngina anavyopewa talaka. Kumbe huyu muuza ubuyu alivyokuwa anatembeza ubuyu ndiyo alikuwa anapata nafasi na Mama Ngina....Imekula kwake sema kwa busara za mkuu Mtambuzi amwache amalize kwanza uzazi. The question is mtoto ni wa nani?????????????????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Arushaone usiseme yote make nijuavyo mama ngina aliniambia japo anaolewa mambo yetu tutakuwa tunaibia ibia!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  muuza ubuyu kwa taarifa rasmi ni kuwa kuna kamati imeundwa na Mtambuzi na muda huu iko kwenye kikao ambacho kinakujadili wewe. Kaa chonjo. Ila kwa ushauri wangu andika wosia kabisa. Mtambuzi unamjua wewe?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Siku nyingi sijamuona mwanangu ngina! Tafadhali asije akataifishwa na ajue kwamba si damu yake! Muombe tena pesa basi jamaa ili unipatie kwa ajili ya weekend kama ulivyoniahidi!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Makuuuubwa!
  Kuna wavunja ndoa humu.
   
 7. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Vyoooooooote anifanyie lkn Mtambuzi asije nipeleka msitu wa mabwe ya pande!
  Hata hivyo mimi ni wa kwanza jamaa ndo akaniibia kwani uwezo wangu wa kiuchumi haukuwa mzuri! Hata hivyo Arushaone mimi ninalindwa na babu yangu kutoka rukwa!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmmhhh mama nginaaaaa....
   
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Nyamaza King'asti huyu nasikia ndio mshua wako wa ukwenhe.
  Si uanona maza'ako alivyoumbuliwa leo?? Angalia mshua'ako asisome hapa.
  Kwa maana hiyo wewe unaitwa King'asti Muuza Ubuyu from now onwards.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Wewe muuza ubuyu unanifanya nicheke.... Mtambuzi walinzi wake wawili; mmoja kutoka Nigeria na mwingine kutoka DRC (Zaire ya kale.) Andika wosia bhana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  We mtoto tulia, kidumu cha mkononi hakizuii ndoo kubwa kubebwa kichwani! Ndoo inafika na hata kidumu cha mkononi kinafika!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 12. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaaaaa, King'asti muuza ubuyu! Mwache mwanangu, we Arushaone usimsumbue!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Hapana siwezi andika wosia wakati nilidhulumiwa! Nipo tayari!!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hamna lolote, kwanza dingi alimkuta maza mpyaaa akiwa na seal na amefungwa kwenye makaratasi! Source:mafundisho ya wazazi.

  Unikomeee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaaaaa, kuna 'mpya feki' na 'mpya original'! King'asti, umesahau?

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nasikia harufu ya damu. Watu watambarow.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Huna hata jadhi ya kuwa kidumu cha hausigelo wetu wa nyumbani wewe! Kwanza sie hatuli ubuyu wa mitaani daddii alisema ni mchafu. Anatuleteaga wa spesheli wa super market
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ngoja dingi amalize lunch na pm wa uk akija hapa hongei kiswahili. Utakomaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Napita tu...
   
 20. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  aaaaaaaa Remmy hapa chit chat hatubarowian hapa, tunasongesha siku tu na JF yetu ili kufurahia japo kwa kukenua meno tu maisha yetu yawe marefu!


  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...