Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aisee!Kumbe na huyu mzee yupo JF!...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyakwec's Bro, Oct 25, 2012.

 1. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 816
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani nilikuwa maeneo fulani mzee mmoja katika kutoa nasaha ili vijana wamuelewe vizuri si akatupia stori fulani hivi ya
  Mtambuzi kama ilivyo!...

  Nikatabasamu nikasema duh,kumbe na mzee yupo JF nikatamani ningemsoma nikajua na michango yake kule MMU lakini

  inawezekana pia alizisoma zamani enzi hizo zinatolewa katika gazeti ambazo Mtambuzi huwa anasema baadhi ziliwahi

  kuandikwa huko au ni miongoni mwa hawa wazee wetu humu!...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,482
  Likes Received: 3,433
  Trophy Points: 280
  We! hata Baba yako anaweza akawa humu ndani chezea jf...
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,225
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mwenzio nimechoka baada ya kubaini Kuwa mtoto wangu wa miaka 12 pia ni member humu JF
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,545
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  jf bana....
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,482
  Likes Received: 3,433
  Trophy Points: 280
  Si mchezo..
   
 6. peri

  peri JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,587
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ndomana ni vema kuwa makini humu jf, unaweza kumtokea nduguyo, lol.
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,903
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Sasa kali ni pale utapokua wamporomoshea mijitusi nduguyo au mzazi
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,489
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kumbe ulikuwepo muda ule natoa nasaha pale,natamani ningekuona
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,368
  Likes Received: 2,148
  Trophy Points: 280
  kuliko yote ni pale unapodate na mama mkwe au baba mkwe wako.

   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,317
  Trophy Points: 280
  Kuna prof mmoja humu, lol! Nilimuona id yake kaacha kwenye pc. Siku akinijua hehehe.
  Shkamoo mwalimuuuu!
   
 11. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 1,996
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  nimebadili usirudie tena kuchungulia PC yangu
   
 12. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  HAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAAAAA

  sasa mimi nakujua fika mkuu!!! yani JF rahaaaaaaaaaaaa

  ILA HESHIMA NAWEKA MBELE MKUU!!!
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,609
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Ole wako useme kwamba unanijua...... Utajutaaaaaa................LOL
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,603
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  kwani ushawahi kumpa za uso humu?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  yaani mie ndio wananijua hadi basi, maana huwa nasahau kufunga sometimes.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  S4C At any cost!.. Sex 4 Change..................point taken!!!!!!!!!
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,317
  Trophy Points: 280
  Weye unanijua mi nilivyo nna adabu. Mbona wataka kunisingizia?
   
 18. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata mie nikuta boss wangu yupo

  Namvizia mpaka nijue ID yake

  ili nijue busra za oficin na huku zipo?
   
 19. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 816
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hahahahahhahaha,kweli mkuu JF cyo yaku chezea!....
   
 20. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 816
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Cpati picha hiyo first date cjui utasemaje,lol!...
   
Loading...