Nimewachukiaje hawa jamaa! Yaani utumbo ni utumbo tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimewachukiaje hawa jamaa! Yaani utumbo ni utumbo tu!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Oct 28, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Si ni hawa wanaojiita VODACOM !
  Hivi unamuelewaje mathalan mtu kaweka bandiko ,
  "FUNDI & MTAALAMU MAHIRI WA KUTAHIRI, ZILETENI"
  Wenye zakari zao wakaitika!
  Wakakushushia zakari za kutosha!
  Fundi akatahiri mbili-3 !
  Mara kaacha kutahiri !
  Ooh subirini !
  Vitahirio navikarabati !
  Hivi wakati unatuita , ulidhani sie watahiriwa ndiyo tukutafutie zana za mitahiriji ?
  Kama ulikua hujajipanga umetutangazia nini ?
  Hii chomoa nijam*be inatoka wapi ?
  Blood msondongoma nyie bendi ya zamani .
  SUPA CHEKA mmetuletea hivi majuzi , hata haijavunja ungo ! Leo mna siku ya 4 kila tukii request huduma hiyo mnatujibu mko kwenye ukarabati, kama kazi imewashinda si mseme ?
  Mnaudhi kupita maelezo!
  Ningekua commander in chief nyie ni bomba ya kichwa tu ! .
  Au ningewachinja kwa msumeno .
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  naona umeshajaji kabisa, hauna mchina wenye line 3????? Wakizingua kazi ni kwako unaenda kwa wanaotwanga kote kote!!!
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Duuh ! Wa Rula !
  Hii twanga kotekote hii !
  Mbona inan'tisha? Na goTi si ndo itakua humohumo?
  Sio kama unan'fundisha ule n'chezo n'baya?
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,648
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Hahahaha...shem Judgement, kwanza nimekumiss sana bro, habari za kazi!??

  Pili pole sana ila nadhani mitandao yote iko hivyo wako free kuliko free yenyewe, si nchi iko auto pilot mode!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahahaha pole mwaya ndo tanzania na maendeleo kipenzi hamia tuu kama vipi
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  loh mteja mwenye hasira kali!
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Mweh! Wknd yote hii badala ya kuongea na mwenza wako mpange mipangooooo inayopangikaaaaa unataka super cheka! Kwanza hata internet inatakiwa ikatwe kuanzia furahiday jioni manake siku hizi hakuna kujamiiana, hata kwenye harusi kila mtu ako busy na simu.
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yaani bongo kila kitu sarakasi,kakyanani unaweza ukaua mtu!!!!
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shem
  Kweli tunapishanaje!
  Then asante.
  Eebwana hii mijitu inajua kukera si haba!
  Hawa ndiyo wale wachocheau kuni mbichi !
  Nina zao.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nihamie wapi sasa?
  Ilhali watu wangu wa Netharland, Holland, Uholanzi , Spain, Hispania, Portugal na Ureno wanan'tambua kwa mtandao huu?
  Nirudi tena nyuma kwenye behewa la breki ?
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yaani si kuishia kuua tu!
  Unaua unachuna na unakula nyama!
  Pumb.av.u zao mwili mzima .
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ssubbuttuu yake! Mi nnataka afu eti mtu ako busy na simu !
  Haipogo hiyo, atachagua moja ama simu ama mimi !
  Azawaiz mchimbuko utateki plesi !
  Chezeiya kiu ya mpariko weyee!
   
 13. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  haya ng'ang'ania ng'ang'ania baraka za bwana
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hongera zako mteja wewe mlaiynii !
  Aje ? Wataka nipoza mattungu?
  Mi ako poa tu, sizuii mapoozeo!
  Pozo lolote na lije.
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  pole thana my shem, me mwenyewe naface hilo tatizo. nilizoea kubonga kwa 500-1000 per day. lakn saiv nimetumia km 3000 hv. kiukweli inakerajeee!!!!!
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  We kama una maarifa wapi tutapata urogi nambie , mi ntazamini zoezi tumshushe mshipa huyo Mkurugenzi mkuu! Yaani tunampa shipa size ya fenesi la Mvomero au Tuliani .
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hahaa! ngoja niwasiliane na nguli mmoja then will let u know!!!!!
   
Loading...