JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni aibu ambayo ni ngumu kuikana na utajihisi guilty Miaka ya nyuma kuna kipindi niliwahi kuishi kwa mjomba nikiwa nasoma form 5, Nilianza tabia sugu ya kujichua huku naangalia video za x, kwangu...
4 Reactions
16 Replies
779 Views
Shalom, Naomba Mwenye ile clip ya kanumba: kamshahara kangu ni kadogo mno siwezi kumhudumia mpenzi wangu anitumie
1 Reactions
2 Replies
453 Views
Mimi kazi yangu ni kukuonya kijana uache tabia za uzinzi na ulevi. Leo nakazia tena hasa kwenye uzinzi. Kijana acha uzinzi. Acha uzinzi
9 Reactions
48 Replies
3K Views
“ISHI” na watu vizuri matatizo yana tabia ya kukupeleka kwa watu uliowakosea!! ✍🏾 #HappyThursday 🙌🏾
4 Reactions
10 Replies
436 Views
Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania. Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.
8 Reactions
30 Replies
24K Views
Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji...
2 Reactions
7 Replies
693 Views
Anyway ni kukumbushana hasa wakati hu wa weekend tusiamini sana hotel ama baar zetu jamani usile ukashiba ukakimbilia kufungua mlango mara umemaliza shuguli kuangalia maji hakuna toilrt paper...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu...
1 Reactions
5 Replies
611 Views
Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimefukuzwa kazi usiku nikiwa ukumbIni na konyagi yangu alafu gari la ofisi wamelichukua bila kuambiwa hata kunibeep ila sikuwa na bando sababu mimi ndio mpandishaji wa vifurushi. Kilichoniuma...
3 Reactions
8 Replies
517 Views
Ametoweka nyumbani toka mwezi wa pili tumetoa taarifa polisi ya hapa Los Angeles atakaemuona atoe taarifa kwenye mamlaka husika. Asanteni.
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Ina maanisha nini watu kusalimia kwa kupishanisha mikono juu na chini?
0 Reactions
8 Replies
577 Views
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Kiukweli ilikuwa ni wiki nzito sana kiasi Cha maigizo ya Mchungaji Msigwa kutofuatiliwa kabisa Mungu wa Mbinguni atuhurumie wiki tunayoanza kesho akatufanyie Wepesi Ahsanteni Mlale Unono 😀
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini. Wee baada ya...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu embu leteni ushauri nimechelewa? Au nimewahi? Maana agizo la Nendeni ulimwenguni mkaijaze nchi nahisi bado sijalitendea kazi kabisa au mnasemaje
3 Reactions
29 Replies
680 Views
Ukihitaji salamu kutoka kwangu,nimekwambia subirini kwanza hiyo Tarehe 8.8.2024 Utopolo atakapomng'uta Kololizard 5 - 1 ,Tofauti na hapo mtaula wa chuya! Lei Nina taka niwatoooooo toooooo...
4 Reactions
6 Replies
350 Views
Unavuta hizi alafu unavimba nazo mjini.
5 Reactions
5 Replies
902 Views
Tanzania and Nigeria, two prominent countries in Africa, share numerous similarities in their legal frameworks due to their colonial histories and subsequent legal evolutions. Both countries have...
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Back
Top Bottom