Kawaida yangu nilikuwa nakaa nalalia blanketi hata mwaka mzima sijafua tena nilikuwa napiga kavu situmii shuka la kuzuia jasho ama uchafu mwengine.
Dry cleaners wanatusaidia sana maana kufua kwa...
Humiliki kiwanda chochote, hakuna bidhaa unayozalisha na kuipelekea nje; wewe kila siku ni kulia lia tu.
Mshahara ukichelewa tu kidogo, unakimbilia kwenye ule uzi pendwa.
Kwa upande wangu, mi...
Daaah haya maisha aiseeh, ndio maana kuna msemo usemao “PONDA RAHA KUFA KWAJA”
Sasa nimejikuta SITESEKI kabisa zaidi ya miezi 2 kumbe bwana nakula “MTAJI” 🥺
Huyo Binti sijaona vionjo vyake humú,muongo mmoja,she was gifted in story telling.ukisoma story zake utafikiri umeshika kitabu Cha James Hadley Chase! Haboi Wala kupoa. Maua yake popote alipo.
Ndugu zangu poleni na shughuli za ujenzi wa taifa, nimeona nijaribu Ku discuss na nyie kuhusu yanayompata snura,
Kiukweli naamini kabisa kuwa matendo yako yanaweza kuwa chanzo cha matatizo yako...
Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1...
Habarini wakuu,
Huku Michezo ya Olympics Ikiendelea Jiji Paris- Ufaransa. Michezo mingi ya kizungu lakini sisi tunaona ya ajabu ajabu.
Ila na sisi wangetuekea michezo yetu ile ya rede na...
Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa?
Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie..
Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro...
Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma...
Hi chit chat
Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa
Wewe je?
Kwa haraka haraka niwakumbushe mawili tu
1. Kuna jela - Maamuzi na matumizi sahihi ni muhimu sana
2.Tu enjoy kidogo hasa tukijifariji " why should we die with health liver and lungs ?"
Ni...
Aaaah! Wakinga Mbwana Kila siku kujimbwamba fai. Kua sijui mnamaghorofa kko sijui mna mambembele cargo. Lakini hayo yote ni sifa za kijinga kama kampuni Bora ya mabus itwayo ABC Ina wapeleka kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.