Ndugu wana-jamvi
Hii inaniumiza kichwa naombeni mnisaidie kujua rangi ya pundamilia,
Je Pundamilia ni mweusi ana mistari myeupe au ni mweupe ana mistari myeusi.Nawasilisha
Hebu makinika nami mchana huu .
Namuongelea Samaki .
Samaki kama ilivyo ada , maeneo tajwa hapo juu ndivyo yalivyogawanyika aidha katika tumlavyo kila mtu ana maeneo shoboko , namna apendavyo...
Sijawahi ingia Lock up na umri huu.Bt leo nimeonja joto la jiwe.Duu,mapolisi wana kieleele,Ogopa.Halafu,naona utaratibu kuingia cyo fair kabisa.Omba sana us3
Kutokana na ushindani uliopo hivi sasa;nimekuja kivingine kabisa.Nitagawa hizi noti kwa yeyote ambaye yuko tayari kuungana na mimi atapata huu mzigo.Na utakusaidia kuboresha maisha yako ya sasa...
Kinyozi mmoja alikuwa ananyoa kwenye Saloon yake iliyokuwa floor ya 1 kwenye jengo husika. Baada ya muda akahama na kwenda ground floor. Kufuatia kuhama kwake akaamua kubandika tangazo kule...
.... It was about 12.00 noon, which is supposed to be lunch hour, when about five, charming armed robbers, visited one of the banks in Arusha town. The smiling thugs greeted every customer with...
Je huna ndugu yeyote aliyepanda treni ya Mwakyembe leo? inasemekana kwamba dereva wa hiyo treni kajisahau alijua ni LONG trip, SASA Hivi ndo wako Makambaku wanarudi tena Dar:bange::violin::israel:
Kweli kifo kinaogopwa
Jamaa aliingia msikitini kwa kasi na panga mkononi huku jasho likimtoka, akauliza nani muislamu humu ndani? waumini wote kimya... jamaa akauliza tena, nani muislamu humu...
Mimi binafsi lazima ntaingia mtaani kuandamana iwapo serikali itaendelea na wazo lake la fao la mifuko ya hifadhi ya jamii kutotoa mpaka nifike miaka 55 wakati mm mwenyewe sina mpango huo??
Sent...
Mwe, mwenzenu mie sikuwapo mahala hapa kwa miezi kadhaa, leo kuingia tu humu Chirt Chat nakutana na watu wapya kibaao, hata siwafahamu mie, basi kama isingekuwa kumuona Bishanga, wallaahi...
Peopleeeeeeeeeesss Waukweeeeeeeeee!!!!!!!
Kama kawa kama dawa TUMETISHAAAAAAAAAAAA!!!!! Sasa ni KUSEAL THE DEAL TUUUUUU!!!!!!!!!! PATI LA KUSHEREKEA UBINGWA MSIPIMEEEEEEEEE!!!!!!!!!!
THE DREAM...
Huu usafiri wa daladala ni too much usumbufu, yaani mtu unakaa kwenye siti halafu yule aliyesimama anakuletea makalio yake karibu na pua kwa kweli inakera sana
Jamaa mmoja alikuwa gesti na demu mmoja,,asubuhi kulipopambazuka kukatokea ugomvi mkubwa baina yao.Mazungumzo yalikuwa hivi:
Demu:Naomba hela yangu
Jamaa:Hela ya nini?
Demu:Unadhani umepata...
Katika uzi wenye jina 'Wanawake muwe na aibu' wa Jamii01,nilitamka maneno ambayo si ya kawaida kwa umri wangu. Ukaninukuu na kuniuliza swali la kuchoma sana moyo wangu.Ukasema:uuuuuuuwhi,ni wewe...