JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mazee nipo ndani ya Mbeya, ni mpana kupita maelezo,itakuwa poa kama tutaonana japo kwa wale itakaowezekana, pamoja sana full love. I LOVE MY MOTHERLAND
0 Reactions
36 Replies
2K Views
It’s the most beautiful time of the year Blessed is Justin Bieber for this wonderful song. Nimedediketiwa, na mimi nalidediketi kwenu kama lilivyo. Haya na wewe hebu lidediketi hili lisongi kwa...
0 Reactions
4 Replies
903 Views
Kulikuwa na malecturer wakija lecture theatre wanawauliza, HIVI NYIE WOTE MNATAKA KUITWA GRADUATES??? Kwenu hakuna mashamba? Haiwezekani! Lazima wengine mpungue!! Anawafundisha kidogo aafu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
yaani sikukuu yote imeishia kitandani. jana nimetoka kibaruani nikafungua box la overmeer nikanywa kama lita hivi. kutoka hapo nikajisogeza maeneo nikapiga dompo mbili. baada ya dompo ya kwanza...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Habarini za siku wapendwa wote na members wa chit chat? Nilikuwa mbali nanyi bila kuwaaga, mnisamehe kwa hilo,ila ni mwingiliano wa majukumu tu. Nimewamiss sana na nawatakia heri ya x'mass wote.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
A
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mwelekeo ninaouona hapa MNDENYI mvua imeongeza baraka ila chonde chonde jamani nataka kujirusha mimi, ila nawapenda wote na hakuna mtandao utakaonitenganisha na JF.
0 Reactions
4 Replies
741 Views
Habhari yenu bhana,wana chitchat. Ni kwa mara nyingine tunawadia katika zile pilikapilika na shamlashamla za kumsaka miss chitchat wa kila mwezi.nikukumbushe tu kuwa shindano hili lilianza mwezi...
2 Reactions
93 Replies
5K Views
Wakuu habari za sikukuu! Taarifa za utani toka Mwanza zinadai, Wanaharakati wanaotetea haki za wanyama jijini Mwanza, wameandamana kuelekea ofisi za umma kushinikiza serikali iingilie kati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa analeta usanii
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Merry Xmas Merry Xmas Christmas wishes Faith makes all things possible, Hope makes all things work, Love makes all things beautiful, May you have all the three for this...
0 Reactions
9 Replies
997 Views
X mas ndio hiyoooo! sijapata mwaliko hadi hivi sasa jamani, umri wangu ni wa kutosha tu,uzoefu wa muda mreeefu wa kuutandika mpunga, nakuja na pilipili yangu(sio chili) ni ile ya asili! na ndizi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba nifikishe shukrani zangu kwa mwana jf King'asti kwa jinsi alivyoweza kunipa maelekezo ya kuweza kufanya mawasiliano na modes baada ya account yangu kuwa ime expire. Wakati nilipolazimika...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwajiriwa:"Boss umeniita?" Boss:"Yeah,nenda ukapige punyeto{masterbate}." Mwajiriwa: (baada ya muda) "Tayari boss,nimepiga." Boss:"Nenda kapige tena!" Mwajiriwa: (baada ya muda mfupi)...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
wahenga walisema 'mwembe wenye matunda ndo hupopolewa mawe',si bure tunaonewa gere,iko namna machichater tume win jf kwa ukaribu wa members wake.Vinawauma.Vinawatesa.Vinawakaba koo.Siku nyingine...
3 Reactions
94 Replies
5K Views
Jam ya Arusha jama. Nimekuja kula Christmas bt jam jamani. Yaani mpaka jam ya watu. Preta, Arusha one gfsonwin mpo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wamakonde wawili waliingia bar huku hawajui cha kuagiza, ghafla wakaingia wachaga wawili na kuagiza "aisee muhudumu tuletee kilimanjaro mbili za baridi". Bila kuchelewesha wamakonde nao wakaagiza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kwa anaependa kujiunga nami nipo hapa mrc ukumbi ninaianza cristmas kwa wanaopenda kujiunga nami nawakaribisha kwa moyo mkunjufu
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wakuu Mimi na Familia yangu tunawatakia Xmas njema pamoja na familia zetu. Ila mchukue tahadhali kuu katika kipindi chote cha Sherehe, mjihadhari na ajali na matukio mengine yanayoweza kuficha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndururu/Porosooo/Cash/Mabraga/Mchone/Mawe/Majani …. Ipo katika Miji yote,huwafanya watu ni wenye kupendwa na kuonekana wazuri. Na pesa ni ulimi kwa Yule anayetaka ufasaha,Pesa ndio silaha kwa mtu...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…