Ronn M
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 1,279
- 684
Jam ya Arusha jama. Nimekuja kula Christmas bt jam jamani. Yaani mpaka jam ya watu. Preta, Arusha one gfsonwin mpo?
Last edited by a moderator:
hiyo tumeikimbia.....khaaaa....sijui nini kimetokea.....nipo mndeny saa hii.....
Kunani huko Bwagamoyooo???
Mndenyi ya wapi tena bibie?