Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
yaani sikukuu yote imeishia kitandani. jana nimetoka kibaruani nikafungua box la overmeer nikanywa kama lita hivi. kutoka hapo nikajisogeza maeneo nikapiga dompo mbili. baada ya dompo ya kwanza sikumbuki hata kilichoendelea naambiwa tu niliaanza kujidai pedeshee!. naamka asubuhi nashangaa kumbe nililala chini!!. usiku huu ndo nimepata walau hamu ya kula. vipi wewe ulilewaje, au bado unaendelea?
nb-chonde chonde ulevi noma!
nb-chonde chonde ulevi noma!