amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
Presha inapanda,
presha inashuka,
kila nikipigiwa simu ni mambo hayo ya matokeo inasemekana waliofaulu ni asilimia 15 tena wale ambao walirudia mitihani au walioexempt somo moja.
Na nimeshasema siangalii mpaka mwaka mpya upite.
Maana hawa watu wa NBAA ile mizee ile ndo maana wana sura mbaya wote yaani wameshika watu kama vile hawana akili..
Maskini amu hata sielewi kama nimepita au sijapita ila sifungui mtandao wa NBAA mpaka mwaka mpya uishe.