kwa wabeba mabox wote kwa raha zetu

kwa wabeba mabox wote kwa raha zetu

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Jumuiya na ubalozi watanzania washington.. ..wanakuletea.....new year's eve bash kwa watanzania wote wa dmv na majirani....burudani kutoka kwa lokassa ya mbongo...freeee champagne toast at midnite.....red carpet...professional photographer so dress to impress ...top djs...top mcs........kumbuka umoja ni nguvu...utengano ni udhaifu...tupendane majungu hayajengi...roma haikujengwa kwa siku moja....dmv haitajengwa kwa siku moja pia...tuiunge mkono jumuiya yetu changa...proud to be tanzanian...honorable guest-ambassador mwanaidi maajar.....
 
Kila la heri!, mi ntawasaidia kumpa taarifa Le Mutuz.
 
heee wabeba box mbona simuoni raisi wenu hata kumcopy au ni mmoja wamaorganizer nini..
 
Back
Top Bottom