Haya ni majina ya sehemu mbalimbali na maana zake!

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,183
1,739
MOSHI=Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo;
ROMBO=Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba;
HIMO=Hata Ikipungua Mungu Ongeza;
MARANGU=Mungu Angalia Raia na Ngawira Utuhakikishie;
MAMBA=Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira;
MWIKA=Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti;
URU=Usitunyime Riziki na Uchumi;
KIBOSHO=Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza;
MACHAME=Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa ni Endelevu na
KISHIMUNDU=Kwetu Ikikosekana Shilingi Mungu Nakuapia Dunia Utaichukia!

Endelea kutoa maana za sehemu nyingine...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom