kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
Kwanza kabisa ningependa kuwasalimu na kuwatakia ijumaa njema. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu uzalendo wetu umepotea kbs zamani kulikuwa na ushirikiano mkubwa sana hasa ktk kuchangia maada watu wengi hujitoa kwa moyo wao wote na ukashanga siku nzima ukamaliza C.C.
Siku hizi watu waaingia wanasoma 2 hata kutoa comment hakuna anahamia kwenye uzii mwingine anafanya hivyo2 kwa hiyo tunajikuta na maada kibao ambazo hazina uchangiaji kwa nini tusijiweke utaratibu wa ushirikiano wa CHAT AND CHIT.
Nawasilisha Cc kwa wote karibuni.