Mhudumu ajichanganya....

Mhudumu ajichanganya....

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Mume na mke wameingia hoteli ya kifahari

mume; wife unakula nini?

Mke; utakachokula na mie hichohicho.

Mume; mhudumu...!!

Mke; naamu mkumbwa nikusaidie nini tafadhali?

Mme; chips na kuku sahani mbili bei gani?

Mhudumu; 20,000/=

mume; kachumbali bei gani?

Mhudumu;kachumbari bure bosi.

Mume; Basi tunaomba kachumbali sahani mbili..!

Hahaha duh!
 
Ni afadhali umeanza kucheka mwenyeo
 
Huyo ni mpare nini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mume na mke wameingia hoteli ya kifahari

mume; wife unakula nini?

Mke; utakachokula na mie hichohicho.

Mume; mhudumu...!!

Mke; naamu mkumbwa nikusaidie nini tafadhali?

Mme; chips na kuku sahani mbili bei gani?

Mhudumu; 20,000/=

mume; kachumbali bei gani?

Mhudumu;kachumbari bure bosi.

Mume; Basi tunaomba kachumbali sahani mbili..!

Hahaha duh!

lazima mtu achanganyikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom