JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mzungu alifiwa na mbwa wake, akaamua kumpeleka kanisan aombewe, Padri wa kichaga alimfokea kwa hasira Hapa hatuombei mbwa toa mbwa wako hapa haraka! Bas yule mzungu akamwomba amuelekeze kanisa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi juzi niliona kwenye habari ya kijiji kinachoitwa Ki-nyeto katika mkoa wa Singida halafu nikakumbuka kuwa kuna thread fulani humu inayozungumzia shule ya msingi Senge ya huko huko Singida...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi JF, kuna mzigo mdogo nataka kutuma sumbawanga kwa kutumia bus la sumry nipeni mwongozo jinsi ya kufanya na je wanaaminika wale watu wa ofisini mwao ubungo?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana ChitChat, Matokeo ya awali ya Wachaga walioenda kwao kuhesabiwa yameanza kutolewa. Habari za ambazo zimetua kwenye dawati langu hivi punde na kudhibitishwa zinasema kuwa hadi hivi sasa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni 1% tu ya wanawake wote duniani wameshawahi ku experience hii kitu.......................... Mwenye jibu toa
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Ama kweli UALIMU KAZI YA Wito MWANAFUNZI mmoja hajui kujumulisha wala kutoa mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakini wapi ikabidi ajaribu njia hii MWALIMU; kwenu mnafuga nini? MWANAFUNZI...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Masai kaenda kanisani kaishia nje, PASTOR akauliza ''Yero mbona huingii unakaa NJE?'' MASAI akajibu ''Unasani mi MUJINGA? si nasikia SIMBA wa YUDA iko ndani inanguruma!!!!
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kukosa usingizi ni ktu kibaya sana jamani. najaribu kufumba macho lakini wapi dah.................. utashangaa kukikaribia kucha ndo utakuja, nipeni pole mie maana kesho kazi kama kawa alafu niko...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Jamaa aliweka mtego chumban kwake.Panya aliona ule mtego akaenda kwa jogoo amsaidie kutoa mtego akakataa,so panya akaenda kwa mbuz naye akakataa,then panya akaenda kwa ng'ombe akamsaidie naye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakituona chupi zinabana,ah ah zinabana
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mwalimu alimuuliza John darasani, "Ukiwa mkubwa, utataka nini?" John akajibu; "Nataka niwe na pesa, nioe mke mrembo; tuwe tunaogelea pamoja, niwe nikifanya mapenzi nae mara tatu kwa siku...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
ndio tumekutana na tukapendana,nikiwa na hizi raster zangu..iweje leo uniambie ninyoe nimefuga miaka 8 nimezigaramia kama mtoto,umenikuta na washikaji zangu iweje leo uniambie niwatenge unajua...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari zenu member wote mm n member mpya naomba ushirikiano wenu tafadhali
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimesubir mpaka bas nikijua wadau waliofika white pat wataweka picha lkn hamna ki2! Jaman 2wekeen picha na ce ambao ha2kuepo 2faudu lol... Km hamtak 2one sura zenu bas weken hata miguu.
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wadau kutokana na kuibuka kwa wimbi la wanajamvi kutangaza nia na ndoa kila leo hapa jamvini, nimeona ni vema kuwe na utaratibu mzuri ambao utakubalika wa mtu kuufuata ili kuepusha mgongano wa...
4 Reactions
240 Replies
13K Views
Usiku nimeota nacheza na majoka Mh sasa jioni inafika naanza kuogopa lol! Hii ni ndoto!kwanini napata woga hivi?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanajamvi Marhaba, Mwaka huu Mwenyekiti niko kidijitali zaidi, yaani short and clear, haina chenga. Na mwaka huu naanza kama ifuatavyo. Siku si nyingi hapo nyuma kijana Slave alitangaza nia...
6 Reactions
109 Replies
5K Views
While playing in the backyard,Ntonku kills a honeybee.His father sees him killing the honeybee and angrily says,''No honey for you for one month!" Later that afternoon,Ntonku's dad catches...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
One day a couple was talking and express their feelings...mkaka started... Broza: I want to share Everything with you. Your JOYS, Your SADNESS, Your HAPPY MOMENTS Every single second of day...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
They say you get into a darkroom you given condoms to have sex with a stranger, you both can’t see each other but can just feel each other and not supposed to talk and after the 2nd round you will...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…