Mzungu kafiwa na mbwa wake

Mzungu kafiwa na mbwa wake

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Mzungu alifiwa na mbwa wake, akaamua
kumpeleka kanisan aombewe, Padri wa
kichaga alimfokea kwa hasira Hapa
hatuombei mbwa toa mbwa wako hapa
haraka! Bas yule mzungu akamwomba
amuelekeze kanisa ambalo wanaombea
mbwa walokufa mana yeye ana sadaka ya
mil.15. Padri haaaa., sasa mbona hukusema
mapema kuwa huyo mbwa wako ni
mkristo?? Haya mlete hapa 2mwombee
haraka jmn,......,..!
 
hu hu hu hu hu hu hu hu hu hu hu hu hu!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom