Mi ngoja nikupe mji ili utoe jibu maana sina muda wa kufikiria.... Nenda Mwanza..!
Ni 1% tu ya wanawake wote duniani wameshawahi ku experience hii kitu..........................
Mwenye jibu toa
Dah.. inaonekana umeiwazia sana... make muda uliyopost utata mtupu!!! Haya jibu la ni KUFIKISHWA KILELENI... haya nipeane zawadi yangu!!!
kutopitiwa mbavuni na waume/boyfrend zao
Dah.. inaonekana umeiwazia sana... make muda uliyopost utata mtupu!!! Haya jibu la ni KUFIKISHWA KILELENI... haya nipeane zawadi yangu!!!
Noashim naona unaelekea kupata jibu, nipe jina lake sasa