Usidharau jambo dogo

Usidharau jambo dogo

Cuso4.h2o

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
93
Reaction score
8
Jamaa aliweka mtego chumban kwake.Panya aliona ule mtego akaenda kwa jogoo amsaidie kutoa mtego akakataa,so panya akaenda kwa mbuz naye akakataa,then panya akaenda kwa ng'ombe akamsaidie naye akakataa.after 2days nyoka akanasa ktk mtego so mwenye nyumba ktk kumnasua naye akang'wata akafa.so majiran kwa ajili ya msiba wakaamua kumchnja jogoo kwa wagen.siku ya pili,wagen wakajaa xo wakachnja mbuz.sku ya 3 wagen wakawa weng sana so ikabd wapke ng'ombe.xo n tatzo dogo lilicause matatizo kibao
 
dah bora wangekubali kumsaidia panya .
 
mdharau mwiba humchoma...or mkojo mdogo mdogo ndio unao roanisha nguo...so tusidharau jambo kubwa au dogo..I like this ndg
 
Xo panya akasavaivi

Panya naye katika kuokotaokota mifupa ya jogoo, mbuzi na ngombe kuna jamaana mmoja toka Ntwara alikuja pale msibani akawa alimwona yule panya, akamkamata na kumfanya kitoweo.
 
Jamaa aliweka mtego chumban kwake.Panya aliona ule mtego akaenda kwa jogoo amsaidie kutoa mtego akakataa,so panya akaenda kwa mbuz naye akakataa,then panya akaenda kwa ng'ombe akamsaidie naye akakataa.after 2days nyoka akanasa ktk mtego so mwenye nyumba ktk kumnasua naye akang'wata akafa.so majiran kwa ajili ya msiba wakaamua kumchnja jogoo kwa wagen.siku ya pili,wagen wakajaa xo wakachnja mbuz.sku ya 3 wagen wakawa weng sana so ikabd wapke ng'ombe.xo n tatzo dogo lilicause matatizo kibao

Panya anaongea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom