chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,753
Kukosa usingizi ni ktu kibaya sana jamani. najaribu kufumba macho lakini wapi dah..................
utashangaa kukikaribia kucha ndo utakuja, nipeni pole mie maana kesho kazi kama kawa alafu niko mwenyewe hivo hata kudoji sitoweza.
Kama kuna mtu mwenye hali kama yangu karibu tusogeze siku