Don't change me...

Don't change me...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
ndio tumekutana na tukapendana,nikiwa na hizi raster zangu..iweje leo uniambie ninyoe nimefuga miaka 8 nimezigaramia kama mtoto,umenikuta na washikaji zangu iweje leo uniambie niwatenge unajua tulipo toka?umenikuta niko karibu na famila yangu mbona kuingia wewe unataka tuanze kufarakana nao..plz don't change m....let me be me.japo nakupenda
 
Au unakuta tangu tunaanzana nilikua napigaga kimoko, leo anadai viwe viwili , nikimwambia siwezi , naambiwa nimeanzia chocho kwanza, kwake nasuuza tu !
Hamtosheki ?
 
hahaha kamanda banaa...komaa ukomboe ndoa yako
 
Au unakuta tangu tunaanzana nilikua napigaga kimoko, leo anadai viwe viwili , nikimwambia siwezi , naambiwa nimeanzia chocho kwanza, kwake nasuuza tu ! Hamtosheki ?
Loh una hatari wewe! Na huo ujumbe umfikie nani vileeeee . . . .??????
 
Mbona povu kaka, cie maras hatuwagi hivyo
 
baki vile vile tu, kwani kubadilika kitu gani... kama hataki aende zake....
 
Au unakuta tangu tunaanzana nilikua napigaga kimoko, leo anadai viwe viwili , nikimwambia siwezi , naambiwa nimeanzia chocho kwanza, kwake nasuuza tu !
Hamtosheki ?
hahahahaahahah wazee wa moja hawa hapa hahahahah mwanamme wa kimoko sio rijali hahahahah ila Judgement nimekumis umepotelea wapi au umefichwa na kimoko chako hahahahaahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
ndio tumekutana na tukapendana,nikiwa na hizi raster zangu..iweje leo uniambie ninyoe nimefuga miaka 8 nimezigaramia kama mtoto,umenikuta na washikaji zangu iweje leo uniambie niwatenge unajua tulipo toka?umenikuta niko karibu na famila yangu mbona kuingia wewe unataka tuanze kufarakana nao..plz don't change m....let me be me.japo nakupenda
hutaki unaach amapenzi ni kama brela BIASHARA ZINAKUFA KILA SIKU NA WAO WANASAJILI MPYA KILA SIKU
 
Back
Top Bottom