JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Waha watatu walienda kwa ndugu yao, walipofika kwa ndugu yao mjini wakapewa soda, walipoondoka mmoja akatia kizibo mfukoni,baadae akamnong'oneza mwenzake,mwenzio nimechukua mbegu vp ww?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wasalamu. je wajua mambo yasababishayo laana? Yapo mambo mengi yanayoweza sababisha laana,leo naomba kila mmoja atupia walau moja tu. Mimi nasema Kunyoa denge(kiduku) na kuchora...
1 Reactions
99 Replies
5K Views
IKIWA JAMII FORUMS = HOME OF GREAT THINKKERS JE FACEBOOK = ????????? PIGIA MSTARI JIBU.:rockon:
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wishing you a day filled with goodness and warmth, Wishing you happiness… today and forever, Happy Women’s Day!
8 Reactions
37 Replies
5K Views
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Umapowasha simu yako ya NOKIA (orijinal) kunajitokeza picha ya mikono miwili inayoshikana . Sasa niambie hiyo ni mikono ya akinanani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa wanaChitChat?? Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za kwa Uongozi wa Jamii Forums kwani bila wao kutoa ushirikiano shindano hili lisingefanikiwa. Kama muonavyo...
13 Reactions
144 Replies
8K Views
habari zilizo nifikia hivi punde kwa wale wanaotumia barabara ya morogoro road imefungwa kutumika leo,serikali inawaomba radhi kwa usumbufu utakao tokea kwani kuna babu anajifunza baiskel
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi uchaguzi wa Kenya lini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maiti moja ya kichaga ilivalishwa suti moja manatata sana na kuwekwa kwenye sanduku moja la kifahari mno. Mmasai akapewa kutoa neno la mwisho kwa marehemu baada ya watu kuaga maiti. Akaanza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
In a trial, a Southern small town prosecuting attorney called his first witness to the stand. The witness was a grand motherly, elderly woman. He approached her and asked, "Mrs.Jones, do you...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama
11 Reactions
96 Replies
6K Views
MCHAGA NA MBINGUNI WAPI NA WAPI? Mchaga alipokufa aliulizwa na MALAIKA: "kushoto kwako ni peponi, kulia ni Jehanam. ungependa uende wapi?" MCHAGA: Nitabaki katikati ya pepo na Jehanam MALAIKA...
10 Reactions
6 Replies
2K Views
Hata Gari ijae vipi LAZIMA dereva apate seat Hata jogoo asiwike LAZIMA kukuche ......................LAZIMA........................
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kosea njia Usije koseaa Kuoaaa!!!!!!!!!!
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mimi nashika kalamu, kutaja vitu vitamu, Mbunye imezidi hamu, katika hii duniaaa. Kuna zile za wazungu, zimekaa kama kungu. Katikati ni nyekundu, daima ntazitumiaaa. Na zipo za Kiarabu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama... "Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana... "Mchungaji: "Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saanaa .Atakusamehe tu..."Jamaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kesho bendera ya taifa itapepea nusu mlingoti, kutokana na msiba wa watu 246,000 waliokuwa wakitokea Form 4 kuelekea Form 5 kwa kutumia meli ya MV NECTA, wamezama ktk Ziwa Zero karibu na maeneo ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
(1) Apate fedha bila kufanya kazi. (2) Awe na akili bila kujisomea. (3) Apendwe bila kutendwa. (4) Ale chakula bila kunenepa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa Jakaya kikwete Amani karume Jommo kenyatta Mwai kibaki Paul kagame Fareed kubanda Juma kaseja John kennedy...
1 Reactions
98 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…