JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Donn my Dear, Ni kitambo sana hatujaonana, Nilikuwa Lupango. Nakupenda sana, Ndimi, Shenazi Khamis Bweni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Dar es salaam - utapeli 2. Arusha - heka heka 3. Mbeya - matukio 4. Tanga - majini 5. Dodoma - ombaomba 6. Mwanza - fujo 7. Kagera - misifa 8. Rukwa - uchawi 9. Kilimanjaro - ubahili 10. Mara -...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu juzi katika mihangaiko ya hapa na pale ndani ya jiji letu hili nlijikuta nko ndani ya DCM Toyota la Mbagala Rangi3 likiwa limeshehen nyomi la watu; sasa kwenye daladal kam mnnavojua...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
After studying law, Rwegoshora decided to move back to his home town of Bukoba to open his own practice. The first day, he saw a man coming up the sidewalk. He decided to make a big impression...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Unaamka asubuhi unakuta missed call saba kwenye simu yako, 1.Anayekudai 2.Unayemdai 3.Baba yako 4.Mama yako 5.Kaka yako 6.Dada yako 7.Mpenzi wako. je, yupi utaanza kumpigia....?? NIPE JIBU...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
MWENYEJI: Utakunywa soda au chai? MGENI: Nitakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Baba na mama wakiwa wamelela ghafla usiku MTOTO: Mama nataka nikakojoe MAMA: Chukua tochi uende mtoto akanyoosha mkono kutafuta tochi kumbe baba yake alilala uchi mtoto akashika mboo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanawake maajuza walioishi katika "apartment building" moja walifika mahakamani wakishitakiana kwa mambo mbalimbali yaliyojiri katika pango hilo. Kelele zilizidi ndani ya chumba cha mahakama hata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akauliza, wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono. Akauliza tena...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo ya sayansi na teknolojia yamesaidia mambo mengi, lakini si kumbukumbu kuhuishwa ukubwani jamani!! Mama mweye umri wa miaka 65 alijifungua mtoto. Aliporuhusiwa toka hospitalini, akarejea...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee mmoja anayefanyia idara ya maji katika moja ya miji yetu, akawa anatamba mbele ya wafanyakazi wenzake juu ya mafanikio ya watoto wake kielimu na kimaisha. Akaanza: Mtoto wa kwanza yuko London...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dereva wa magari makubwa Mwana-mama aliamua kutafuta mbwa wa kumlinda ajapo safarini. Akampata mbwa kwa watu wanaofundisha na kuuza mbwa. Muuza mbwa alimwambia mama, "Mbwa huyu hapendi wanaume."...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Daladala iliondoka kariakoo kufika magomeni konda akauliza: kuna mtu anashuka? Abiria mmoja akajibu: tumeziacha nyumban labda mitandio. Daladala ikawa inakaribia maziwa, yule abiria alosema...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Katika mkutano wa kijiji jamaa akaibuka ghafla na kukatisha hotuba ya mwenyekiti, mkononi ana bonge la shoka huku akisema "nasikia nilipokuwa jela kwa miaka mi5 kuna jamaa alikuwa ananitafunia mke...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Dogo mmoja kapelekwa hospital na mdingi wake,dokta akawa anamwandikia dawa,baba yake akatoka nje kuongea na simu,mtoto akamuinamia dokta na kumwita kwa sauti ya chini,dokta! dokta!......kwenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
KCSE.2013 HISTORY PAPER 1. Q.1.If mwalimu Dida garners 44,784 votes using a car and some times walking on streets. Required: a)calculate how many votes he could have garnered if he...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dada mmoja alizaa na MCHINA. Bahati mbaya mtoto akafariki dunia. Yule dada alilia sana sana, mara akasikika skilia kwa sauti kubwa " Nilijua tuuu.....mimi nilijua tuu....nilijua tuuu." Ikabidi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bibi wa MTWARA alikuwa anasumbuliwa na tumbo. Majuzi akaenda hospitali, daktari akampima akamwambia bibi TUMBO LIMEJAA GESI, utafanyiwa upasuaji. Bibi ghafla akatoka mbio akipiga mayowe, HII...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna Mama mmoja huyo mchoyo kinoma, basi unaambiwa kuna siku kapika pilau lake la nguvu na kachumbari la kumwaga. Time ya kula ilipofika yule Mama akarudishia mlango wake ili aanze...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
A young man goes into a pharmacy and says to the pharmacist, "Hello, could you give me a condom. I'm going to my girlfriends for dinner and I think I may be in with a chance!" The...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom