Mmasai ahisi marehemu enda kuoa ahela

Mmasai ahisi marehemu enda kuoa ahela

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Maiti moja ya kichaga ilivalishwa suti moja manatata sana na kuwekwa kwenye sanduku moja la kifahari mno.

Mmasai akapewa kutoa neno la mwisho kwa marehemu baada ya watu kuaga maiti. Akaanza;

Maiti safiii, kifo juuu,

basi watani wakamwitia safiiiiiiiiii.

Mmasai akajua yupo kwenye right track, akaendelea;

Jamani Marehemu amependeza na suti yake matata tafikiri inaenda oa ahela hajapendeza?

watani wakamwitikia amependezaaa!

mmasai akasema mbona wengine mekaa kimya, kama mtu iko na wivu na afe kaa hii marehemu

Mchaga mmoja akapaza sauti kwa hasira;

Aisee we morani, hebu tutolee upuuzi wako hapa, yani watu nahuzunika wewe naleta masihara

Mmasai akamjibu, naona unaona wivu kwa vile maiti mevaa suti zuri eeh, ka vipi na wewe jinyonge ufe tukununulie suti zuri ka ya hii marehemu
 
Back
Top Bottom