englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
no apology until the last drop of ya blood buddy!
alafu kuna mambo ni magumu kusamehe aisee,...dah
Napingana nawe Ruhazwe JR. Usahihi ni kuwa kuna watu ambao ni wagumu sana kusamehe mambo mengine.
Arushaone unajua hata Mungu mwenyewe kuna mahala alikasilika kias kwamba akashindwa kutoa msamaha,umewai kujiuliza kwa nini MUSA aliye waongoza wana wa islael hakuingia nchi ile ya ahadi?