JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
67 Reactions
258 Replies
10K Views
Huu ni utafiti wangu Usio rasmi
3 Reactions
26 Replies
837 Views
Waislam: Salamlykum ~Wakirsito:Bwana Yesu asifiwe Wanajukwaa Ninachemsha bongo hapa nataka tujadiri kwa pamoja mpaka tupate jibu swali:(nineno gani la kiingeleza lenye herufi 26 lakini lina...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu msaada maana nishaharibu huku Ni bahati mbaya tu imetokea Mtakaotaka picha mnipumzishe kwanza
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Me nliwahi kupokea simu badala ya kusema "haloo" me nikasema "hodii" 😂 Lets Go
27 Reactions
78 Replies
3K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa...
6 Reactions
16 Replies
948 Views
Ulishawahi pitia kipindi kigumu hadi ukashindwa kutoa rambirambi za misiba mfano labda una group kama vile watu mliohitimu nao chuo labda itokee msiba mmoja wenu amefariki, unatolewa mkeka wa...
1 Reactions
11 Replies
572 Views
Karibu... 1. MDOMO Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine...
2 Reactions
1 Replies
451 Views
Huyu jamaa ukimwangalia toka kwenye video ya ''hate me now'' yuko na nas escoba hadi sasa na album yake ''last train to paris'' yuko vilevile,ki-vimpire vimpire hellena angemwuliza,'for how long...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Hii mijamaa ina akili sana duuh, ebu tazama
0 Reactions
5 Replies
524 Views
UYU SASA NDIO MTUMBWIZAJI
1 Reactions
4 Replies
276 Views
mdada kama una bwana ni muendesha magari yaani fuso zinazo toka nje ya nchi na kila akienda kupeleka mzigo nje na wewe unaenda kujifanya unapenda sana wakati uho mwezio jicho lake kwako ni kwa...
6 Reactions
16 Replies
558 Views
Kila mtu ana namna tofauti ya kusherehekea birthday yake 1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu 2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla 3. Unaenda bar kupata kinywaji 4 keki laZima ihusike 5...
7 Reactions
64 Replies
2K Views
Mods hapa ni chitchat na sio jukwaa la siasa. Huu uzi ni wa kuwatania vijana wetu wanaoogopa kulala rumande wakati kuna watu wanalala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka na hawakondi wala hawaogopi...
4 Reactions
12 Replies
589 Views
Habari Wana jamvi.... Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi...
3 Reactions
12 Replies
648 Views
Habarini wakuu I hope mko gud. Moja kwa moja kwenye mada kumekua na battle nyingi hapa jf kuhusu uzuri na ubaya wa badhaa ya majiji.nini kiko moshi na nini Kiko ARUSHA ambacho kinakuinterest kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Najua mpo ingawa wachache. Mkaka alie na mwanamke mmoja tu aje kutufanyia sala ya kubariki sikuyetu na wiki nzima inayoanza leo.
0 Reactions
2 Replies
313 Views
LITTLE GHANAIAN PLAYER [TWI] - YouTube Umri wake ni mdogo lakini anakipaji cha kuchukuwa mwamke yeyote yule na mali popote pale na kwa wakati wowote ule.
1 Reactions
7 Replies
8K Views
mtu kaja pm ana anza unaitwa nani? umri wako? unajishughulisha na nini? elimu yako? makazi yako? nakereka
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Wananzengo vipi? Leo tunaenda kula bata wapi? Wanasema kazi na dawa; ukiwa bize sana ni sawa na kutumia mikono yako kusukuma mlima ili uweze kuhama. Twende kazi!
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Back
Top Bottom