JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto...
1 Reactions
112 Replies
4K Views
TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya...
1 Reactions
5 Replies
833 Views
Kuna metals zimetajwa kati ya izo tisa hapo na bado bongo ni maskini
0 Reactions
8 Replies
380 Views
Habari wanajamii forum: Leo ni siku maalumu kabisa aliyozaliwa my darling doughter,sister from another mother,darling in crime,sweetheart....... Heaven Sent miaka kadhaa iliyopita. Mpendwa...
14 Reactions
620 Replies
69K Views
Mzee anayeamka mapema kwenda kufanya kazi alikuwa kijana aliyelala sana. Kuna hatari endapo mmoja atakosa usingizi, Lakini kuna hatari kubwa zaidi endapo mmoja atasinzia sana. VIjana tujitahidi...
3 Reactions
1 Replies
211 Views
Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe...
1 Reactions
0 Replies
312 Views
duh jana nilikuwa maeneo ya mwananyamala sasa kuna sehemu kukawa kuna sherehe si ndo nasikia mc kapokonywa maik jamaa anatangazo jamaa anatangaza nimenunua iPhone 13pro macho matatu million moja...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Hakuna jambo jema kama kujua unapendwa na watu pia wanakupa attention je mimi Superbug napendwa na je nani wananiadmire humu jamiiforum? Pia naomba kama wewe ni mpenzi wa kupenda kupendwa basi...
6 Reactions
24 Replies
825 Views
The flame on your birthday candle can dissappear, but the flame of love for you in my heart will not. Thank you for always being there for us...Happy birthday champ Kingsmann Kingsmann Kingsmann
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Yaani katika kitu huwa nashangaa yaani watu ambao wamebahatika kuwa na dada kuruhusu fukara amuoe dada yake yaani Mimi ningekua na dada fukara hawezi kumuoa yaani masikini akishaingia kwenye...
5 Reactions
82 Replies
3K Views
Kimyaaaaa!
2 Reactions
3 Replies
498 Views
Ila watu wana maneno aisee.😃😃😀😀😃😃
2 Reactions
6 Replies
657 Views
Kila nikiangalia nyuzi zinazoniongelea Mimi tajiri wa hii dunia ni za masikini ambao nawaambia ukweli kwamba waache kuwa malofa watafute hela wanafikiri kwamba nitaacha kusema huu ukweli. Nyie...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu. Aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae...
6 Reactions
81 Replies
2K Views
Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi...
1 Reactions
67 Replies
3K Views
Stori kidogo Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa...
13 Reactions
17 Replies
861 Views
Je wewe kama mtumiaji wa Jamii Forums unapenda kutumia kiolesura cha mtumiaji kipi kati ya vifuatavyo 1 2 Au 3 Binafsi napenda kutumia namba 3 kwa sababu rangi yake haiumizi sana macho...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Hahahaaaa😂😂 Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha. Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri...
13 Reactions
93 Replies
3K Views
Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela...
13 Reactions
166 Replies
5K Views
Habari za mda huu siku ya Leo nimetoa mualiko wa maulidi Kwa masikini wote nimechinja ng'ombe 25 Kwa ajili ya masikini hakikisheni mnafika maana mnanjaa sana na Kwa wale wanawake ambao mnahitaji...
5 Reactions
70 Replies
2K Views
Back
Top Bottom