Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam.
Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location...
Leo nimepata uvivu wa kupika lunch. So kwa kuwa muda umekwenda sana nimeona vyema niandae chakula cha haraka nachokipenda sana kisha niwakaribishe wanaJF wote tuje tushirikiane chakula cha mchana...
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7]
Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe[emoji1][emoji1]...
Kuna maneno ya msahafu yanasema .. Mpe kilevi mwenye tabu ANYWE ALEWE asahau shida zake!
Maisha yana changamoto na stress nyingi sana.. Ukiziendekeza utakufa uache wengine wanaendelea kufaidi...
Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi...
Katika hali isiyo ya kawaida kwenye tasnia ya bongo na hasa bongoflava ambayo ilionekana kuchukua mashabiki wengi wa nchi hii na nchi jirani.
Mwanamuziki wa Wasafi Media Zuchu ambaye siku kadhaa...
Aisee Mimi ni mkazi wa Arusha siku zote nilijua Arusha ndio Kuna bridi kuliko mikoa mingine Tanzania😂😂😂 Uwiii sintakaa nisahau siku nilimpeleka Mwanangu kureport Form Five Makambako Secondary...
Wanaidawa kuwa na upendo, huwa maarufu sana, ni watu watulivu, wenye amani na pia wanasifika kuwa na uvumilivu
Inadaiwa Watu hawa huwa na mtazamo chanya wa mambo na hivyo huwafanya kuwa werevu na...
Wasalam ndugu wana Jf,
Aise ndugu yenu nina shida, Kuna mtu namtafuta yapata miezi tisa sasa, PM yake ipo locked na pia hajawahi post kitu chochote ndani ya muda huu.
Huyo ni Madam S, tafadhali...
Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana, mkikosana siku ya kesi uwanja mzima unajaa magari ya nyumbani kwao, alafu ukute kuna ndugu zake wengine wapo Nje ya nchi wanafatilia kesi Online...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.