Za mishe za maisha wana chit chat.natafta chumba cha kupanga either two rooms au moja sehemu iwe na security uzio uwe wa fence au uzio wowote wenye ulinzi.maeneo yawe magomeni au maeneo ya...
BEFORE MARRIAGE
***************
Husband - Aaah! ...At last! I can hardly wait!
Wife - Do you want me to leave?
Husband - No! Don't even think about it.
Wife - Do you love me?
Husband - Of course...
Jamaa kakosea baada ya ku2ma sms kwa hawara akatuma kwa mama mkwe ilikuwa inasema:
MIMI NAKUPENDA NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA NIKWAMBIE YA MOYONI NAOMBA TUWE WAPENZ MKE WANGU HAWEZ KUJUA...
Ukikuta msg hii kwa Mkeo au Mumeo unafanyaje?
"Ahsante sana, game ya jana ikuwa tamu kishenzi, yaani sijawahi kupata kama ile"
Kama wewe ni mwanaume msg hiyo iko kwenye simu ya mkeo imetoka kwa...
UJINGA MWINGINE BWANA!! Jamaa mmoja aliamka asubuhi akagundua kuwa usiku kanyolewa nywele na wachawi, basi siku iliyofuata akaamua kulala uchi ili anyolewe na m*v*zi kabisa. Asubuhi anaamka...
Kama umetendwa au unahtaj mpenz hujachelewa cha muhimu weka sifa za mpenz unayetaka kuwa naye tabia pamoja na mwonekano wa nje kisha weka namba yako hapa subiri baada ya nusu saa utapokea simu...
1.Nyani haoni:- valise miwani 2.Debe tupu :- weka dengu 3.Maskini akipata :- itaacha iba jumbani 4.Penye kuku wengi :- Chinja bili au tatu 5.Asiyesikia la mkuu :- Peleka yeye polisi 6.Penye wengi...
wewe unatumia mswaki wako kwa muda gani?? unaweza kuta mtu anatumia mswaki wake karibia miezi sita, yaani kila siku ule ule, mpaka akiswaki damu inatoka...
seriously wewe unatumia mswaki wako kwa...
Nimeikuta sehemu:
Ukitoa 1 kwenye 9 inabaki 8. ile 1 uliyoitoa iandike nyuma ya 8 utapata 18 ambayo ni sawa na 9 mara 2.
Toa tena 1 kwenye 18 utapata 17. hiyo moja ulioitoa ijumlishe na moja ya...
Jana nilikua nimekaa barazani nasoma novel akapita Dada mmoja mrembo nikaamua kumuita akadai anaharaka kunamgeni anamuwahi, basi nikamuomba namba ya simu akanipa kwa shingo upande baada ya kuona...
Rais Museveni wakati anahutubia kongamano la vijana kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya AU (African Union) aliuliza, hivi suala la mtu kujinasibu kwa ujana ni suala la umri pekee. Kwamba mimi nina...
Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi.
Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali? Mlevi mmoja akauliza 'Je Kuna Marehemu yeyote aliyewahi kutoroka'?
Kama hakuna...
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty CD! Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nmecmama kuepuka kelele za godoro pale nnapo jigeuza, na wakat...
Babu kanifundisha kuwa,nikitaka kumpata msichana mzuri na uziri wake utakaodumu muda mrefu zaidi lazima nijue kutambua msichana mzuri bila kuingia mkenge.
Kaniambia nikimtaka msichana LAZIMA...
Konda alikuwa kakasirika sana, abiria alikuwa kagoma kulipa nauli akisisitiza eti yeye ni denti, wakati kila mtu alimuona ni mtu mzima, konda akamkunja jamaa, wakapigana sana, abiria alipoona...
Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono? ndo adabu ama? sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa...
utakuta kwenye familia nyingi zakibongo mtu akiwa na pesa anathaminiwa sanaa ata akiwa mdogo kwenye familia lakini ambaye ana yaani full kupuuzwa hivi kwa hali hii tunaelekea wapi ba ndugu:welcome:
Wanadamu wamejaliwa majina mengi mengine mabaya mengine mazuri mangine ya kuchekesha mengine ya kuhuzunisha mengine ya kushangaza mengine ya kustaajabisha. Vivyo hivyo Katika Jamii ya wana JF kuna...