Namba 9.

Namba 9.

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Nimeikuta sehemu:
Ukitoa 1 kwenye 9 inabaki 8. ile 1 uliyoitoa iandike nyuma ya 8 utapata 18 ambayo ni sawa na 9 mara 2.
Toa tena 1 kwenye 18 utapata 17. hiyo moja ulioitoa ijumlishe na moja ya nyuma ya 7 utapata 27 ambayo
ni sawa na 9 mara 3. Baada ya hapo anza tena kama mwanzo!!!! ZAWADI NONO UTAPATA...
 
Teacher wa hisabati alikuwa anaingia ss tunatoka, ndio maana tumeiminyia.
 
Back
Top Bottom