Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
Ukikuta msg hii kwa Mkeo au Mumeo unafanyaje?
"Ahsante sana, game ya jana ikuwa tamu kishenzi, yaani sijawahi kupata kama ile"
Kama wewe ni mwanaume msg hiyo iko kwenye simu ya mkeo imetoka kwa mwanaume, na kama wewe ni mwanamke msg hiyo unaikuta kwenye simu ya mumeo na imetoka kwa mwanamke