Huwa hawajui kuwa Mungu humwinua mnyonge toka jaani na kumketisha pamoja na wakuu........tena humwinua huyu na kumshusha huyu,hukausha mti wenye utonvu na kusitawisha mti usio na utonvu, yote haya hutoka kwake muumba.Usimdharau mtu hujui kesho yake itakuwaje.