Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 168
Dah! maisha yanaenda kasi saana! Enzi zetu bhana, Enzi hzo kumpata msichana mpaka uvizie anaenda mtoni au kufua mitoni! Unamtongoza leo anakukubalia mwakani,enzi zetu akikukubalia tu! Mnapanga mkutane, halafu mnakumbatiana tu.
Enzi zetu hutongozi kwa mdomo, unaandika barua na unapeleka mwenyewe! Huku umeichora maua ya love na mshale!.. enzi zetu hata msichana akikubalia bado inakuwa siri sana,hakuna anayejua zaidi ya nyie wenyewe, kama mmekaribiana yaani zero distance akitokea mtu mnatengana haraka sana!
Enzi zetu maneno yenu vijana sijui Huby, sweet, darling, honey,n.k hayakuwa na nafasi. ilikuwa unaitwa jina lako, ukipendwa sana utaitwa mpendwa au wangu. Enzi zetu,mpaka huyo msichana akubali "mfanye" ilikuwa shughuli,kwanza mpaka uifikie pichu yake unakutana na kama nguo 4 hv mwilini mwake. #yakale_dhahabu SIKU HIZI SASA...
Snura tupu, kama sio majanga. siku hizi ukiwa na gari tu na ukampa msichana lift, akipanda tu tayari chupi imeshamlegea, siku hizi huangaiki sana kumpata mwanamke, nenda fb, twitter, blogs utawanasa wengi. siku hizi unamtogoza leo,halafu baadae kidogo anakukubalia, halafu kesho anamgegeda! siku hizi mkipendana lazima watu wajue... ni mengi sana ila na wewe ongezea yako! HATARI SAANA.