Mlevi ni noumaaaaaaaa

Mlevi ni noumaaaaaaaa

Info Boy

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
33
Reaction score
6
Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi.

Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali? Mlevi mmoja akauliza 'Je Kuna Marehemu yeyote aliyewahi kutoroka'?
Kama hakuna, ukuta wa nini sasa?'...
Au ndo ufisadi hadi kwenye makaburi?

Mchungaji kimyaaaaaa!
Pata zaidi hapa
 
Back
Top Bottom