Je Wajua? Nguo Chakavu Ndo Dekio Jipya? Namaanisha hivi! Mpenzi Wako Mpya ni Mpenzi wa Mwenzako wa zamani, Najua Imekuchoma lkn Ukweli Ndo Huo je? kuna utata!! kuna utata...!!!
Hv jamani Kongosho huko aliko mzima kweli!
manake sidhani kama kuna usalama!
ALIYEMUONA konnie jamani aniiitie
CC watu8, Kaizer, BADILI TABIA, na Mkunde Original
walahi nahis konnie...
WAKUU HABARI...jamani binadamu tuwe na huruma,kuna azabu nyingine tunapeana hapa duniani ni kubwa sana hata kama kusalake ni kunikuta na mkeo/mmeo.
amini na waambieni sio wote unaowaona machizi...
Hay marafiki wote
Majaji tumefurahi sana kumpata Msanii bora ambaye kwa takriban
malongo n'tandatu tulikuwa na shindano la kumsaka MSANII huyo
Bora wa CC MUSIC AWARD 2013, ambaye ni Fixed Point...
Bwana harusi alipoulizwa tu " Una kitu gani kama ishara ya upendo wenu?"
Akafunguazi pu akaitoa na kuanza kuiingiza kwa mkewe pole pole.
Watu wakaduwaaa!!!!!
Bibi harusi naye akaing'ang'ania...
Jst imagine if the goverment would ask everybody to register their boyfriends, girlfriends, husband, wife n watsoever before 2014 by using machines only to find yourself registering your...
mara nikapata mtoto,,mzee mzima Slave nikajikuta na soundisha
slave :mambo vipi mrembo!
mtoto : safi tu hujambo ?
slave : nadhani sio bahati yangu ila ni msukumo wa nafsi yangu...
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi. Maana wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu...
Mambo dear!
Salam sana ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wangu.
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kua nakupenda kwa dhati na...