Heaven on Eath..Nakutaka

Heaven on Eath..Nakutaka

nina-kithembe

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
63
Reaction score
14
Mambo dear!

Salam sana ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wangu.

Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kua nakupenda kwa dhati na kukuacha wewe mpaka mlima kilimanjaro uporomoke.

Natumaini ombi langu limekubaliwa.

Toa salamu kwa Lara1, Mamdenyi, watu8, Miss strong.

Wako akupendaye,

Martin Andekisye

0768*****34
 
Karibu MMU Ande, ila angalia utakula za macho humu.....cheza wenye navyo!!ngoja waje.
 
Martin Andekithye anathema kampenda thana hevenoneth
 
barua inamapungufu kbao kama hutaongeza yafuatayo szani kama atakuelewa!
1.sili silali nakuwaza ww tu
2.Nakuota ww tu kila siku
3. Nikinywa maji nakuona kweny glass
4.nikisikia jina lako tu moyo wangu unadundadunda cku zngne unapasuka kabsa
NB.umesahau kuchora moyo
 
Mapenzi yaingiliapo mlangoni, aibu, usiri, ukimya, usitahimilivu, uvumilivu na vinginevyote vinavyofanana na hivyo hutokea dirishani, mwachen Ande aseme ya moyoni! gud boy-dhalam zimemfikia.
 
Heaven on Earth nasikia hata uwe na aibu kiasi gani ukitongozwa huwezi uma kucha za vidole vya miguuni...
 
...blaza martin ! Kwani we ni mzungu ? Huyo dada alishatangaza anataka goma la kidhungu,kama vipi tupia mjorogo utampata nadhani anazimikia ngozi nyeupe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom