Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
mara nikapata mtoto,,mzee mzima Slave nikajikuta na soundisha
slave :mambo vipi mrembo!
mtoto : safi tu hujambo ?
slave : nadhani sio bahati yangu ila ni msukumo wa nafsi yangu kukupenda,nahitaji uwe wangu maishani.
mtoto : mmh! ok, ila kwa sasa ninaharaka naomba uchukue contact zangu nitafute baadae
slave 😱k fine nitakupigia jioni muda muafaka
jioni ilipo fika nikapiga simu,, he! eti naambiwa namba ya mteja unayoipigia ina tumika kwa sasa tafadhari jaribu tena baadae,yaani nimechoka kabisa kama inatumika mie nijaribu baadae inamaana nisubiri mabaki eeeeeeeeee???????:whoo::whoo::whoo:

Last edited by a moderator: