Tuwe na huruma!

Tuwe na huruma!

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
WAKUU HABARI...jamani binadamu tuwe na huruma,kuna azabu nyingine tunapeana hapa duniani ni kubwa sana hata kama kusalake ni kunikuta na mkeo/mmeo.

amini na waambieni sio wote unaowaona machizi aka vichaa barabarani ni kwasababu ya kuzaliwa,au madawa ya kulevia wala sio ugumu wa maisha.hawa hawa binadamu jamani kweli unamfatua mwezako kisa kakuibia kuku.

huwaga na sikitika nimuonapo huyu kichaa [arusha]jamaa flani mweusi hivi anapenda sana kujichanganya saloon za wanawake,au mataa mianzini,stend jamaa ana tabia ya kutoa uume wake na kupiga pu nye to mbele za mademu...jamaa anauwezo wa kupiga hata bao tisa hadi kumi kwa siku, nazani wana arusha mtakuwa mnamjua....yani hata kama ulinifumania na mkeo yani ndo kuniloga hivyo
 
Back
Top Bottom