Juzi nilienda mahitaji yangu ya nyumbani katika shoprite moja nchi ya kigeni, nilihudumiwa na shoga (gay). katika nchi hii wao wameruhusu huo uchafu wa ushoga na lessbian. Nilipolipia mahitaji yangu wakati naondoka nilishindwa kushukuru maana nilipatwa na "dilema' niseme 'Thank you sir or thank you madam!" Mimi mungu anisamehe nawachukia sana hawa watu wanaofanya mapenzi ambayo jinsia moja. Je wewe lingelikukuta ungesemaje?