Nimemfuata mume wangu JF

Nimemfuata mume wangu JF

Mrs Bishanga again huku hatuna ''mume wangu'' ukisha login in jf hata kama mmeo unamwita shemeji unaweza kula kwata mamaaa
 
Kila siku mume wangu anachelewa kulala kisa JF,sasa nimejiunga kufuata nyayo zake,tukilala usiku utasikia anaota anataja taja majina ya watu,mara Lara 1,Madame B,Evnly salt,AshaDii,
*WasiWasi ndo Akili*

Daah unamoyo mgumu sana ndugu yangu, sasa wewe utaota majina gani ili iwe ngoma droo????
 
daah unamoyo mgumu sana ndugu yangu, sasa wewe utaota majina gani ili iwe ngoma droo????
aote na yeye haya watoke droo mwigulu nchemba,chibuda,nape nnauye,john komba,job ndugai ,
 
kwann mnang'ania vtu vya watu ingali jf kumejaa ma cngle boy kbao au ndo ile kauli ya gari tupu halipandwi inashika hatamu
gari bovu linavutwa na gari zima baba Bishanga ni kizee ati
 
Last edited by a moderator:
uuuwii !kazi ipo mnapeana migongo kila moja upo jf na wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom