JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hujambo hapo ulipo,ni matumaini yangu kwamba hujambo na unaendelea na maisha kama kaiwada Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali hapo ulipo ,ni hayo tu mkuu . Asante
13 Reactions
123 Replies
6K Views
Tofauti na zama hizi, zamani watoto na hata watu wazima walikuwa wanavaa hirizi waziwazi bila kificho. Tulipokuwa tunacheza mpira shuleni/mtaani ilikuwa ni kawaida mtu kukuomba umshikie hirizi...
3 Reactions
4 Replies
374 Views
Kipindi chako cha ujana umri wa miaka 22-25 ulikuwa unamiliki nini cha thamani ili nipate motivation ya utafutaji.
3 Reactions
9 Replies
580 Views
Unavimba na pesa za kujiuza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🌳
1 Reactions
3 Replies
298 Views
Kuna kitu kinachoongea ndani yangu ndani kwa ndani au kwa mdomo wangu.sijaelewa ni nini.
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Huyu muheshimiwa amenishinda tabia Siku hizi hata nikimuona nyumbani kwangu simuui tena namchukulia kama mwanafamilia tu
2 Reactions
16 Replies
803 Views
Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko. Nakulazimisha watu...
3 Reactions
12 Replies
702 Views
Madame wa biology aliingia class akakuta board ni chafu. Akaniambia kwa kuwa nimeshindwa ku-sort mtu afute, basi nikafute mimi. Nimeenda kufuta ubao, nikatafuta duster cleaner, nikaikosa...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF.
4 Reactions
6 Replies
396 Views
Wakuu, Tupeane maujuzi hapa ya mambo ya kufanya na kutokufanya Ukiahamia chumba kipya au nyumba mpya uzingatie nini? Sasa msije mkasema "Uingie na boksa kinyume nyume"🤣🤣🤣🤣maana nimewahi kusikia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm) Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie...
17 Reactions
97 Replies
4K Views
Tulikuwa kwenye hafla moja ya kikazi hapo dar, maafsa wote tulialikwa kwenda kushiriki na kutoa hoja za kimijadala. Nilikula suti yangu kali na moka za kuchongoka, huku kakitambi nacho...
13 Reactions
38 Replies
1K Views
Ni kweli Watanzania hukasirika wakiambiwa Wakenya wanakijua Kiswahili kizuri kuwazidi?
0 Reactions
5 Replies
537 Views
Katika maisha Yako ukiachana na umauti ambao Kila nafsi itaonja., Ni jambo gani hutamani likutokee Mimi binafsi naogopa Radhi za wazazi na kupata maradhi makubwa kama AIDS na Kansa. Je wewe...
17 Reactions
54 Replies
2K Views
Hello good people,mko poa? Mie niko poa Niko bored hapa,sina usingizi kusema nilale sasa hivi Kazini naingia night shift na babe yuko zake job....let's chat Kwa wale mlio kwenye mahusiano...
20 Reactions
523 Replies
10K Views
Angalia picha hii kwa umakini kisha taja upande gari hili linapoelekea na kwanini?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu habarini!!! Kuna binti nipo nae ila nafsi inampenda ila akili haitaki cz sio mweupe. Yaan hisia hizi zinanipelekesha sana nashindwa nimuachaje na amenipenda pia ila ndoivo niliapaga ntaoa...
4 Reactions
22 Replies
907 Views
Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi...
15 Reactions
84 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu wanajukwaa. Nikifahamu kwamba humu ndani ya jukwaa wapo watu wa namna mbalmbalii na experience mbalimbali, leo nawaomba wale waliopitia seminary tukutane hapa...
2 Reactions
115 Replies
15K Views
Back
Top Bottom