JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao hadi wanaposikua kuna mgeni ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi. Hii hali kwako ikoje? Uko tayari muda wowote? Tupe uzoefu wako.
1 Reactions
6 Replies
587 Views
Wachache sana wakarne za zamani tutaijua hii😝
4 Reactions
8 Replies
572 Views
Piga picha na utuonyeshe kwenye friji yako umeweka nini? Here we go!!
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina %...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo...
14 Reactions
53 Replies
2K Views
Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
12 Reactions
123 Replies
3K Views
BIla shaka wote mko vyema Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana. Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua...
1 Reactions
2 Replies
487 Views
Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
2 Reactions
7 Replies
384 Views
HAICHUKUI NAFASI YA DAKTARI usizidishe message juu ya message ambayo haijajibiwa especially ya mpenzi usilete unyonge - Haichukui nafasi ya daktari usitume na ya kutolea kama Kila siku...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Komwe ni nini? Lina/ina uhusiano gani na wanawake? Kwa nini Kila linapozungumziwa komwe huwa linahusianishwa na wanawake? Linavutia au halivutii kwa wenye nalo?
5 Reactions
31 Replies
8K Views
Ivi Kuna kitu Gani makonda positive ambacho amewahi Fanya jamii mzima ikaguswa? Hii LAND ROVER FESTIVAL INA FAIDA GANI? naomba mwenye kunipa faida tatu za hiki kitu naomba anifahamishe
2 Reactions
63 Replies
2K Views
Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3...
1 Reactions
1 Replies
396 Views
Assalam Aleikum, Zanzibar tunaandaa tamasha kubwa la VESPA duniani. Tarehe 15 April 2025. Karibuni sana
5 Reactions
11 Replies
786 Views
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2) Kula 15,000/siku - 450,000 Tv azam 35,000 Umeme 30,000 Maji dawasco 15000 Beki 3 - 50,000 Wazazi 80,000 Nauli job 4000/siku - 120,000...
42 Reactions
117 Replies
5K Views
Alafu anaandika nimekaa na mtoto mkali maeneo ya kitambaa cheupe huku crown yangu inaoshwa nje. 😏 All in all tunaheshimiana na kupuuziana hivyo hivyo kama anonymous😂
3 Reactions
4 Replies
229 Views
Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof lakini hii ina ukweli mno sababu 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo waliuagiza na wanazitafuna bila haya. Sijui ni nini...
26 Reactions
148 Replies
4K Views
Kwa wale waliowahi kupanda treni za abiria Ulaya, Marekani, Japan na Korea, huwa huko nako kuna dunga dunga(wabambiaji) kwenye treni zao?
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom