Nsumba Secondary School!-Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nsumba Secondary School!-Mwanza

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mwanamasala, Sep 24, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wana Nsumba mpo?
  Nilikuwa Nsumba Sec toka 1981-1984!
  It was nice experience and great school ever attended!Walimu wetu wakina Michapo,Bia ,Kikuli na wengineo.Mshikaji ,Mdundo etc.Bila kumsahau Mama Manyanda!Na Mtera vile vile

  Mgoha alipoingia kuwa Headmaster aliibadilisha shule kidogo!wakati mzuri ulikuwa jioni,kwenda ziwani kuoga etc.Bila kusahau Visiting-Nganza au Bwiru wakati wa baadhi ya Jumapili!Oh na Disco vile vile siku maalum kati ya Nsumba au Bwiru Girls!

  Tupeana fresh memories kama uliattend Nsumba miaka hiyo!
   
 2. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  2006-2009
   
 3. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  Umesoma zamani sana mkuu but history haijabadilika maybe walimu tu.. 2005-08 chini ya msasa, mbaga tukagraduate na zuma.!!! cant forget the view of kitintale
   
 4. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  watoto nyie mlijitia wasumbufu kipindi kile
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Dah!

  Mdingi wangu kasoma Nsumba...ila ni zamani sana.
   
 6. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mie nilikuwa hapo 1999-2002 ,tulimkuta Kibona ndo anaelekea kuondoka badae akaja Msasa.Advance ilianzishwa pale nikiwa Form three kama kumbukumbu zangu zitakuwa zinasoma sawa Enzi hizo Disco tulikuwa tunayarudi na Bwiru girls baada ya advance kuanzishwa advance wengi walikuwa na mademu wao pale Nganza na hiyo ikasababisha mahusiano kati ya Nganza na Nsumba yakarudi ndipo hapo tukaanza pia kucheza Nganza.
   
 7. K

  Kchibo Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  We jamaa hukuwa member wa top layer kweli kijiwe pale mbele ya brother felix! Afu nahic ka wewe ndo ulivunja notice-board na kuchana matokeo ya mock, ha ha ha am just kiding but ni moja ya tukio lililomake headline sana kipindi 2namaliza pale 2008 mpaka tukaletewa police cku tunamalizia mtihani wa necta ili tuondoke fasta chini ya uongoz wa Mr.Xuma.
   
 8. C

  Cartoons Senior Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  umenikumbusha mabibi wa nganza kwenye miaka ya 1968 tukiwaita hivyo. ,
   
 9. balibabambonahi

  balibabambonahi JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2015
  Joined: Apr 5, 2015
  Messages: 5,758
  Likes Received: 3,483
  Trophy Points: 280
  mika ya 1993 had I 2000,nganza tukiwaita wakongwe sisi nsumba wananyati,Jesus r.i.p,kibona tulikuwa tunamkubali sana,nilimaliza 1996.nimepamisi kitintale
   
 10. balibabambonahi

  balibabambonahi JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2015
  Joined: Apr 5, 2015
  Messages: 5,758
  Likes Received: 3,483
  Trophy Points: 280
  naambiwa mashamba yote yaliishachukuliwa.hawalimi tena budigila,manyand a,biye,lungw'wecha,milanga,ihuku,mhete,kubuteba,density,hanging valley etc respect
   
 11. Mr Adam Gella

  Mr Adam Gella JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2015
  Joined: Jan 17, 2015
  Messages: 986
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  #Nsumbanians mpoo??ebana hapo ni bonge la shulee nimepita hapo 2009_2011 Advance Hgl dah ukifika nsumba ukashindwa kuingia Chuo kikuu jilaumu mwenyewe!!tumewaacha kina madam hadija,,chande,Headmastr zakayo,,sec master Mwakisimba!!,,wakongwe kina Matov pcb
  Wale ngedere kitintale vip?swea je??tumeruka madisco vumbi kinoma swea,,vile vidaga vidoogo vya kulia ugali tulkua tunaitaje vile???( fuluu)
  Maembe kule mitaa ya nyamalango??tumepiga kinoma hahahaa
  Jogging asubuh hadi nganza palee....

  Mabweni braza felix,,mkwawa ,,mengi,,mkapa,,sokoine hahaha duuh
  I will always remember NSUMBA SEC SCHOOL!!!
   
 12. mavela

  mavela Senior Member

  #12
  Apr 14, 2015
  Joined: Oct 1, 2014
  Messages: 142
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Unamjua Benjamin charles a.k.a Fabregas?
   
 13. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2015
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Daaah. Nimesoma nganza. Nakumbuka tulikuwa tukienda disco Bwiru boys nsumba wanakasirikaaa.
  Tulikuwa tunawaita manyani......those memories. Dah
   
 14. d

  daud magigo JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2015
  Joined: Sep 5, 2014
  Messages: 959
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Kumbe wewe nguruwe kabisa,wakongwe unawa kumbuka.Bibi Manyanda na BIE huwa nawaona mjini Mwanza anafikili walisha stafu.Pia Nyahinga na masomo yake ya BIOLOJIA yupo Mwanza ila MDUNDIKO na MICHAPO sijui wako wapi?
   
 15. S

  Sukula JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2015
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 1,214
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Km sikosei kuna kipindi pia mlikuja sumve high school.
   
 16. Neutral Figure

  Neutral Figure JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2015
  Joined: Mar 8, 2015
  Messages: 537
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Afu wewe utakuwa ntunzima wa zamani sana
   
 17. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2015
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Hahahaa. Kiasi chake. Nimemaliza 1999. Enzi za marehemu mama Seif.
   
 18. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2015
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  yeah sumve tulikuja kwenye michezo.... enzi hizo girls ndo wapo boarding, sijui siku hizi!!! tuliharibu gari makusudi ili tulale uko, nakumbuka night yake ilikua balaa.... tuliamshwa asubuh asubh kurud shulen kwetu lol!!!!
   
 19. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2015
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  hahhaha top layers ilikua noma.... ila ndo hivyo tumeshapotezana kintindo!!!
   
 20. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2015
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kulijengwa mabweni mengine? Ndo yakaitwa Mkapa na Mengi? Au yalibadilishwa majina yale ya zamani kama Mondlane...:biggrin:
   
Loading...