Salamu.
Wanajamvi kijana stevoh nimerudi ndani ya nyumba..
Ukweli nimewamisi sanaa..
Nilikua napita kwenye mapito ila nimeyamaliza NOW AM BACK.!!
Nyimbo inayovuma baada ya kupita..
Jaribu kwa...
Ndugu zangu habari za shughuli?
Leo nimeamua kuja hapa kumtafuta ndugu yangu Erickb52. Taarifa za kiintelijensia nimesikia amefichwa sehemu ambayo mimi siijui.... naomba mwenye taaarifa anisaidie...
Vijana wa kizazi hiki wamekuwa wabunifu sana, kumtongoza mwanamke wanasema hivi: kupiga mistari, kupiga sound, kupiga vocal, kuingiza beat au kuimbisha. Ongeza lako na wewe.
NAOMBA MNISAIDIE NATAKA KUAGIZA GARI AINA RANGE ROVER 4.6 YA MWAKA 1995CIF DAR ES SALAAM / TANZANIA, UNITED REPUBLIC OF is US$3438. Included JAAI Inspection fee!USHURU ITAKUWA BEI GANI?NAOMBA...
habarini marafiki MABESTITOOOOO
msishangae kuingia kwa hali hii ni mambo ya
weekend yashaanza hivyo mjuwe mabestito
msione hivi mwenzenu juzi kati nilijishaua si
nikaingia room hii
nikamwaga...
Huyu binti akionekana popote mwambieni aje hapa jamvini mara moja atutake radhi mimi na wazee wenzangu akina Asprin MziziMkavu Arushaone Smile madameB etal.
Siku ya Tar 2/10 tulitoka na majamvi...
There was a man who really took care of his body. He lifted weights and jogged six miles every day. One morning he looked into the mirror, admiring his body, and noticed that he was suntanned...
Ama kweli UALIMU kazi ya wito
MWANAFUNZI mmoja hajui kujumlisha (+ ) wala kutoa ( - )
Mwalim katumia njia zote
kumuelimisha lakin wapi Ikabidi ajaribu Kutumia Mf Huu
Mwl: kwenu mnafuga...
Naona Mutu anaandika akisema eti Iyi mimi ni mhamiagi haramu,batokea Mutaho na Kanyarucinya itaaca Tanzania inafurahi, Haiwezi kwa sababu inajuwe Vitendo tuliyo wa fanyiya mwaka Jana na Juzi...
Ulipojiunga JF ukaingia jukwaa la utambulisho ulipokelewa na watu wangapi na akina nani,nani alikuvunja moyo na nani alikutia shime
Mimi nilipokolewa na watu Kumi,hawa wafuatao
1.Mshume Kiyate...
Mke: Hello, beiby uko wapi sasa??
Mume: Ooh! sweet nikosafarini kuelekea kwenye mapenzi.
Mke: Mapenzi gani tena wakati umetoka tu sasa hivi jamani.
Mume: Naenda kufuata ua nipambe meza yetu au...
Jamaa alikuwa akifanya kiwandani na kila siku
alikuwa anafanya overtime. Bosi wake akamuita
na kumsifu sana na kumuahidi akiendelea na
moyo huo angemhakikishia kumpa cheo
kikubwa katika muda...
Mshikaji kakosana na mpenzi wake, wamenuniana kama siku tatu hivi, mshikaji anaishi Tabata, binti anaishi Ukonga.
Siku ya tatu jamaa akaamua amtumie SMS binti ya kumuomba msamaha yaishe...
Jamaa:haloo mrembo una mpenz? Binti:hapana sina mpenzi. Jamaa:mwanzo 2:18 bwana mungu akasema, ''si vema huyu mtu akawa peke yake ntamfanyia msaidizi wa kufanana nae''. Binti:lakini mimi...
Hii ni kwa sisi tulioshi kidogo maeneo yenye vichaka,hivi ni kwa nini mtu unapoingia kujisaidia haja kubwa kichakani,lazima ugeuke ulikotoka na kuchuchumaa kwa zoezi hilo,na kwa haja ndogo...