Vijana wa kizazi hiki wamekuwa wabunifu sana, kumtongoza mwanamke wanasema hivi: kupiga mistari, kupiga sound, kupiga vocal, kuingiza beat au kuimbisha. Ongeza lako na wewe.
Haya maneno bado yanatumika........?
watu siku hizi wanatongozana kidijitali bana.
Haya maneno bado yanatumika........?
Kupigisha kwata..........