PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
Huyu binti akionekana popote mwambieni aje hapa jamvini mara moja atutake radhi mimi na wazee wenzangu akina Asprin MziziMkavu Arushaone Smile madameB etal.
Siku ya Tar 2/10 tulitoka na majamvi na mikeka yetu tukaketi hapa barazani tukisubiri mahojiano (MMU Exclusive Interview ) kama alivotuahidi. Nakumbuka tulinunua mbege zetu,komoni, ulanzi na mnazi kwaajili ya kulainiishia koo zetu.
Subiri weee...hola! Mbaya zaidi hata jukwaani hajawahi kuonekana,katoweka.
Sasa wale wazee wanamtaka aje hapa awatake radhi maana wanajipanga kufungua misuli yao wamuoneshe sehem nyeti za miili yaoo....utapata radhi.
Mfikishieni hizi salamu!

Last edited by a moderator: