mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Ama kweli UALIMU kazi ya wito
MWANAFUNZI mmoja hajui kujumlisha (+ ) wala kutoa ( - )
Mwalim katumia njia zote
kumuelimisha lakin wapi Ikabidi ajaribu Kutumia Mf Huu
Mwl: kwenu mnafuga nin
Mwnfz: kuku na mbuzi.
Mwl: Mbuzi mnaowangapi?
Mwnfz: 25
Mwl: Mbuzi 25 toa mbuz 5 watabaki wangapi?
Mwnfz: Unawajua mbuz we2, au unawackia?
Ukimtoa mmoja tu wote wanatoka.
Mwl: mmh! naacha kazi!