Swenti
Member
- Oct 13, 2013
- 67
- 50
Mke: Hello, beiby uko wapi sasa??
Mume: Ooh! sweet nikosafarini kuelekea kwenye mapenzi.
Mke: Mapenzi gani tena wakati umetoka tu sasa hivi jamani.
Mume: Naenda kufuata ua nipambe meza yetu au hujasikia kwamba mapenzi yana-ua???
mapenzi ya hapo sijapata ua kwahiyo naenda kwenye mapenzi mengine.
Mke: Kheeeee!!!!:crying: