Chezea mtumishi wewe!

Chezea mtumishi wewe!

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Jamaa:haloo mrembo una mpenz? Binti:hapana sina mpenzi. Jamaa:mwanzo 2:18 bwana mungu akasema, ''si vema huyu mtu akawa peke yake ntamfanyia msaidizi wa kufanana nae''. Binti:lakini mimi sikupendi jamaa:waraka wa kwanza wa yohana 4:8 ''yeye asiyependa hakumjua mungu kwa maana mungu ni upendo''. Binti:mh! mimi ntajuaje kama wewe ni mwaminifu? Jamaa:injili ya marko 13:31 ''mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe''. Binti:wewe kwanini umekuja kwangu,wasichana wengine hujawaona? Jamaa:mithili 31:29 ''binti za watu wengi wamefanya mema lakini wewe umepita wote''.¤
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom