Hidden

Hidden

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
habarini marafiki MABESTITOOOOO

msishangae kuingia kwa hali hii ni mambo ya
weekend yashaanza hivyo mjuwe mabestito
msione hivi mwenzenu juzi kati nilijishaua si
nikaingia room hii nn.jpg
nikamwaga uzi huu

"SI KILA MTU ATAONJA MJENGO"

Yaliyonipata huko nusura nifaint, wakaniharibu kichwa na
kunipa ngeo mdomoni :tape::tape: kisa mdomo wangu kupayuko
hovyo hovyo mma po ngafu lelo, na kuingia sehemu zisizonihuuuu.

yaani walinishangaza na sikuwaelewa kabisa tena walinistaajabisha
halafu wananifanya niendelee kuwashangaa ngaaaa :shocked::shocked: na
kunisababishia nikawa mentol oopss!! mental nikawa hivyo

:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:

sijui niwafanyaje vile? ila NILIWASEMEHE 7 X 70 Sikuwa na neno nao
Ila sasa jana yake bhana wakaiingia watu hawa wengine tena wapyaaaa
hawa sasa wakawa so complicated kwao kila kitu diliti diliti yaani hata
hata:focus: nikudiliti tu kwa kwenda mbele, wana audience mnisaidie hapa

wanajamvi :help::help::help: mana siwaelewi kabisa hii kitu niwabebe kwa mbereko gani?


cc: Paloma (rafiki karibu), Mtambuzi, KakaKiiza, Filipo, Arushaone, amu, Lady doctor, Heaven on earth, Fixed Point, Asprin, Bishanga, The secretary, Bujibuji (huyu sijui kapewa
:ban: maana simuelewi), charminglady, Passion Lady, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Young Master, Excellent, LiverpoolFC, mwallu, Smile, mwaJ Erickb52, Baba V, Lucas, Simplicity na marafiki wengine kujeni huku
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa nakumbuka ile siku...wakasema umepost ki em em you

hebu edit post yako bestito mtu anapata shida kusoma wengine twatumia mawani ya mbao
 
kumbe bestito ulikuwepo sasa mbona hukunisaidia wakati napigwa :frusty::frusty:
hahaaaaa nakumbuka ile siku...wakasema umepost ki em em you

hebu edit post yako bestito mtu anapata shida kusoma wengine twatumia mawani ya mbao
 
yaani itabidi nami niingie hivyohivyo kama wewe shostito kwani mwenzio hapa nilipo nina ngeu
mwili mzima sijui nani atakuja kunikanda na barafu mwili umevimba hovyo hovyo best
we mie kule naingiaga kwa kunyata....ila siku ile nilikuwepo
 
ulikuwa hujui kuwa hii ni part2 ya movie mwambie Heaven on earth akusimulie japo kidogo ili uelewe bestito mwenzio mdomo imenibidi niupige :tape::tape::tape: kwani yaliyonitokea kule sitamani tena kwenda kutalliii
heri hata nieleweshe lov maana nadhani ni mwendelezo mi nitakuwa nimekutana na part 2
 
Last edited by a moderator:
yaani itabidi nami niingie hivyohivyo kama wewe shostito kwani mwenzio hapa nilipo nina ngeu
mwili mzima sijui nani atakuja kunikanda na barafu mwili umevimba hovyo hovyo best

hahaa kule naingia kujua kinachoendelea nchin kwangu...then huyo naja zangu cc

kutuliza stress
 
:A S 39: bado hapana elewa mimi yeye taka eleza nini, iko mutu weza saidia mimi:help:
 
Hahahaaa......... Cousin kule siasani pana wenyewe muulize Baba V, watu kule wapo kisharishari.... Ukiingia kule lazima na wewe uwe kauzu hakuna mambo ya sitaki shari.
 
Last edited by a moderator:
cousin imekwenda vibaya kwangu ningejua nisingeingia siasani
Hahahaaa......... Cousin kule siasani pana wenyewe muulize Baba V, watu kule wapo kisharishari.... Ukiingia kule lazima na wewe uwe kauzu hakuna mambo ya sitaki shari.
 
Back
Top Bottom